Hovyo kabisa nyie
Hamna jema..
Afya yake na uhai wake ipo mikononi mwa Mungu..
Hakuja ajuaye kesho yake..waache kunyooshea watu mikono as if wao ndiyo wapangaji wa siku za mtu
Hata wao wanaweza ondoka muda wowote..hakuna ajuaye.
Jamani dear hiyo ni mbinu yangu ya kujitoa kwa goli In case ukarudi nyumbani ukiwa unakula malimao na ndimu baada ya makutano yetu. πππππ»
Jamani dear hiyo ni mbinu yangu ya kujitoa kwa goli In case ukarudi nyumbani ukiwa unakula malimao na ndimu baada ya makutano yetu. πππππ»