Selfika na JF: Snap it. Show it

Soft unaoshinda shambani??
Haki tena,ningekupiga leo.


Hivi unataka hadi nilie hapa ndio unipe picha?
Shamba linahusiana vipi na kukomaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani we ni kibarua wa kupalizi au kunyesha?
Wewe labda ulime vimboga au uoteshe maharage..

Picha ilo limepita mpka unitamkie ooh jaman kwenye simuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shamba linahusiana vipi na kukomaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani we ni kibarua wa kupalizi au kunyesha?
Wewe labda ulime vimboga au uoteshe maharage..

Picha ilo limepita mpka unitamkie ooh jaman kwenye simu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya naomba namba hapa nikupigie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo mjini nikufundishe survival skill
Hio ni moja wapo tuna vaa zetu sare yetu ya kitenge kama baba na mama tunapanda coaster tunaanza injiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ile hapo tuko kazini usije ukaanza tabia yako ya kula kwenye gari.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siwezi kabisa
Bora nikafundishe watoto wa chekechea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…