B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Bageshi unamizuka.Hiiiiiiii!!....Bhagosha gosi omanile egesukuma ng'wanike
Bageshi unamizuka.Hiiiiiiii!!....Bhagosha gosi omanile egesukuma ng'wanike
SanaUzi umedumuu huu.
Ulianza nauona lakini kipindi iko mzito sana kuandika humu.....Sana
Kipindi unaanza ulikuwa wa Moto Sana.
Kijiji chote Cha jf kilihamia huku.
Vizuri sana kama ni salama kabisaSalama kqbisa, sijui weye?
Kumbe!Ulianza nauona lakini kipindi iko mzito sana kuandika humu.....
S T O I CBageshi unamizuka.
Kiongozi.
Jaribu hili Jaman 😅.Kumbe!
Hebu weka kaselfie jamani
Acha kuninyanyasa basi jamaniJaribu hili Jaman.
Am not ready.
Em tusome Bible tuzime taa tulale.Acha kuninyanyasa basi jamani
Lazima watesekeHahahaa new pisi in town
Leo silali bila selfie yako wallaqEm tusome Bible tuzime taa tulale.
Kwani nipost ka selfie si bora mtu akuone tu!!!!? 😎Leo silali bila selfie yako wallaq
Ukipost tunakuonaKwani nipost ka selfie si bora mtu akuone tu!!!!?![]()
Sasa sinijilipue tu😂😂💜.Ukipost tunakuona
Weka basi
Nasubiri hapa ujueSasa sinijilipue tu.
Em nitongoze nitongozeke.Nasubiri hapa ujue
Jamani crushEm nitongoze nitongozeke.




Swaga gani hii jaman?Jamani crush
Wewe ni wa kunitesa hivi kweli?