Hahahaa dah mwenyewe sikulala aisee yaani nina moto nimenunua na midoli kibao leo kama chizi wakati mda wa kuchezea bado, mpaka hom wanacheka tumara ya kwanza sikulala....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]best experience ever
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hakika una ndoto kali sana wew mtu ,,Wajina hahah!
Kumbe ndoto zangu hazinidanganyi.
Hongera na kwako saana hakika watoto wanaleta furaha fulani amaizing yaan iko natural and genuine hapa mda wote nacheka cheka tu kila nikikatazama
Yes@Hawachi..🤔
Oohh sawa
Nimekumiss lakini
[emoji7][emoji7] [emoji4][emoji4]Miss you too dear
Ukiwa Mataga bhnaHiki Chakula Mimi sishibi hata, yaaani
Umejuaje Mimi ni Mataga ? HahaUkiwa Mataga bhna
😂😂😂😂
Kidding.......
Michango yako.......Umejuaje Mimi ni Mataga ? Haha
Tsup brother kalumbu.........
Kwamba Inaonesha Mimi ni CCM Au inaonesha kukubali utendaji wa JPMMichango yako.......
Sijui fika ni utendaji au Ccm.... Sijakufatilia kwa kinaa zaidi ya kukutana na michango yako michache jukwaani..Kwamba Inaonesha Mimi ni CCM Au inaonesha kukubali utendaji wa JPM
ipi kati ya moja wapo ?