Selfika na JF: Snap it. Show it

Amiin mama. Msalimie sana Erick
 
Kwa siksi paki za Lizarazu we kwisha habari yako. Ikiwezekana niruhusu tu nianze kukuita shemeji kwa sababu hakuna namna. Mi na hawa ng'ombe wangu acha tupambane na hali zetu
 
Kwa siksi paki za Lizarazu we kwisha habari yako. Ikiwezekana niruhusu tu nianze kukuita shemeji kwa sababu hakuna namna. Mi na hawa ng'ombe wangu acha tupambane na hali zetu
Hivi unadhani nazipenda Basi

Nilikuwa namjaza upepo...
Pulizii...wazazi wangu washapiga mahesabu ya hao ng'ombe
.
Fanya kunitumia picha PM..

Huyu Lizarazu sikisi pakisi zake zisikutishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…