Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,861 geraldincredible said: nzovwee Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... A wapi Umenifananisha. Sipo Nzovwe.
geraldincredible said: nzovwee Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app Click to expand... A wapi Umenifananisha. Sipo Nzovwe.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,862 Upendo haupo katika maneno Unaonekana kwa matendo Hauonekani kwenye raha Huthibitishwa wakati wa shida Ambwene Mwasongwe
Upendo haupo katika maneno Unaonekana kwa matendo Hauonekani kwenye raha Huthibitishwa wakati wa shida Ambwene Mwasongwe
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Mar 25, 2021 #94,863 Saint Anne said: Nyie hampo Isagha imma tumpale Malafyale Click to expand... mweee.. Nkwisa😂😂😂
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Mar 25, 2021 #94,864 qeen jojo said: Hamtuli na mtu mmoja nyie Click to expand... wewe umetujaribu wote kwan🙄
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Mar 25, 2021 #94,865 Saint Anne said: Upendo haupo katika maneno Unaonekana kwa matendo Hauonekani kwenye raha Huthibitishwa wakati wa shida Ambwene Mwasongwe Click to expand... 💯💯💯Kuna tatizo natengeneza makusudi hapa ili nigundue wanaonipenda kwa dhati.
Saint Anne said: Upendo haupo katika maneno Unaonekana kwa matendo Hauonekani kwenye raha Huthibitishwa wakati wa shida Ambwene Mwasongwe Click to expand... 💯💯💯Kuna tatizo natengeneza makusudi hapa ili nigundue wanaonipenda kwa dhati.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,866 Mgiriki Jr VI said: mweee.. Nkwisa Click to expand... Umenikumbusha ule wimbo wa Angwisa.. Sijui waliimbaga akina nani wale.
Mgiriki Jr VI said: mweee.. Nkwisa Click to expand... Umenikumbusha ule wimbo wa Angwisa.. Sijui waliimbaga akina nani wale.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,867 Behaviourist said: Kuna tatizo natengeneza makusudi hapa ili nigundue wanaonipenda kwa dhati. Click to expand... Huna haja ya kutengeneza tatizo.. Matatizo huja yenyewe tu! Ila ni bora yule mtu anayekupa faraja wakati wa shida kuliko yule anayekupa zawadi wakati wa raha "Akufaaye kwa dhiki huyo ndiye rafiki"
Behaviourist said: Kuna tatizo natengeneza makusudi hapa ili nigundue wanaonipenda kwa dhati. Click to expand... Huna haja ya kutengeneza tatizo.. Matatizo huja yenyewe tu! Ila ni bora yule mtu anayekupa faraja wakati wa shida kuliko yule anayekupa zawadi wakati wa raha "Akufaaye kwa dhiki huyo ndiye rafiki"
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Mar 25, 2021 #94,868 Saint Anne said: Umenikumbusha ule wimbo wa Angwisa.. Sijui waliimbaga akina nani wale. Click to expand... Daah kitambo kwel hako kasong nikikapata takutumia mtakatifu
Saint Anne said: Umenikumbusha ule wimbo wa Angwisa.. Sijui waliimbaga akina nani wale. Click to expand... Daah kitambo kwel hako kasong nikikapata takutumia mtakatifu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,869 Mgiriki Jr VI said: Daah kitambo kwel hako kasong nikikapata takutumia mtakatifu Click to expand... Ka muda sana. Kipindi hicho nilikuwa hata sikaelewi vizuri aisee.. Isagha gwe ngubhule Angwisa
Mgiriki Jr VI said: Daah kitambo kwel hako kasong nikikapata takutumia mtakatifu Click to expand... Ka muda sana. Kipindi hicho nilikuwa hata sikaelewi vizuri aisee.. Isagha gwe ngubhule Angwisa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,870 Mgiriki Jr VI said: View attachment 1734166shika kwanza huu Click to expand... Bahati mbaya app yangu haifungui attachments
Mgiriki Jr VI said: View attachment 1734166shika kwanza huu Click to expand... Bahati mbaya app yangu haifungui attachments
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 25, 2021 #94,871 Saint Anne said: Aiseee Bado siamini kama alinidanganya Click to expand... Me anapo nichosha tu anapata nguvu ya kulike comment 10000 anashindwa ata ku quote ata moja
Saint Anne said: Aiseee Bado siamini kama alinidanganya Click to expand... Me anapo nichosha tu anapata nguvu ya kulike comment 10000 anashindwa ata ku quote ata moja
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,872 qeen jojo said: Me anapo nichosha tu anapata nguvu ya kulike comment 10000 anashindwa ata ku quote ata moja Click to expand... Mvumilie hivyohivyo "Mvumilivu hula mbivu"
qeen jojo said: Me anapo nichosha tu anapata nguvu ya kulike comment 10000 anashindwa ata ku quote ata moja Click to expand... Mvumilie hivyohivyo "Mvumilivu hula mbivu"
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 25, 2021 #94,873 Saint Anne said: Dadeq Msaidie basi kutoa ile signatures inayojiweka akicomment.. Bila hivyo hatakuja kutujibu hapa Click to expand... Kwan anatumia simu gan zile motorola za mikonga au
Saint Anne said: Dadeq Msaidie basi kutoa ile signatures inayojiweka akicomment.. Bila hivyo hatakuja kutujibu hapa Click to expand... Kwan anatumia simu gan zile motorola za mikonga au
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Mar 25, 2021 #94,874 Drinking water....... Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,875 Yesu nakuhitaji Vivyo kila saa Niwezeshe mwokozi Nakujia. Nina haja Nawe
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 25, 2021 #94,876 Mgiriki Jr VI said: wewe umetujaribu wote kwan Click to expand... Alafu hii campun ya jr sio kabsa wana walingo sana
Mgiriki Jr VI said: wewe umetujaribu wote kwan Click to expand... Alafu hii campun ya jr sio kabsa wana walingo sana
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Mar 25, 2021 #94,877 Saint Anne said: Bahati mbaya app yangu haifungui attachments Click to expand... Pole ngoja nidelete tu
Saint Anne said: Bahati mbaya app yangu haifungui attachments Click to expand... Pole ngoja nidelete tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,878 qeen jojo said: Kwan anatumia simu gan zile motorola za mikonga au Click to expand... Ana simu Kali Sana Bahati mbaya akicomment inaweka ile signature"sent by using my iphone12". Msaidie kwanza kutoa hiyo signature.
qeen jojo said: Kwan anatumia simu gan zile motorola za mikonga au Click to expand... Ana simu Kali Sana Bahati mbaya akicomment inaweka ile signature"sent by using my iphone12". Msaidie kwanza kutoa hiyo signature.
qeen jojo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,246 Reaction score 3,729 Mar 25, 2021 #94,879 Saint Anne said: Mvumilie hivyohivyo "Mvumilivu hula mbivu" Click to expand... Mwisho zitaoza saaa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 25, 2021 #94,880 Mgiriki Jr VI said: Pole ngoja nidelete tu Click to expand... Oh jamani Usifute ..ngoja niingie kwa kutumia browser nione.
Mgiriki Jr VI said: Pole ngoja nidelete tu Click to expand... Oh jamani Usifute ..ngoja niingie kwa kutumia browser nione.