Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,548
- 235,319
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vibe lipo ila mimi nina aibu sana kula mbele ya mtu nisiye mfahamu, macho ya watu, kwaio labda nile vikorosho etc.
Ok nimekuelewa dogoBasi usiniite mdogo, weka kaka angu still ni defensive mechanism.
Seriously!!!!!.Ok nimekuelewa dogo
Mimi napendezwa na vitabu tu!Kwaio hujapendezwa na chochote kingine,naskia wanasema hakuna motoni?
Punguza😅.Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakula tu!
Huwa sijali kabisa
Sili Sana ila nakula hovyo.Punguza[emoji28].
Watu kama nyie ndugu huwa wanafaidi sana kwa kubeba zawadi hamjambo kwa kweli.Sili Sana ila nakula hovyo.
Yaani kitu kikipita nanunua,nakula kidogo,naweka pembeni.
We we Hugo?Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nakula tu!
Huwa sijali kabisa
Hakuna moto, hakuna mbingu (mbinguni kumeshajaa), hakuna trinity na Yesu ni kaka yetu mkubwa kwa maana kwamba alikuwa ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa na Mungu. Hata dhana ya wokovu ni tofauti kidogo. Wana mafundisho mazuri sana na yenye kutia moyo mno! Pia ni wastaarabu kweli kweli na huwa napenda sana kuzungumza nao kwa kina.Kwaio hujapendezwa na chochote kingine,naskia wanasema hakuna motoni?
jambo lako mirinda orangeSio jambo langu [emoji846]
Mdogo wangu Mbona unanikosea adabu tenaHabari yangu nzuri!!! [emoji94] [emoji92]
Uko kimya sana mdogo wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu kama nyie ndugu huwa wanafaidi sana kwa kubeba zawadi hamjambo kwa kweli.
Bro shkamooWe we Hugo?
Adabu ipi? Mdogo wangu.Mdogo wangu Mbona unanikosea adabu tena
Pepsi.
Very interesting........Hakuna moto, hakuna mbingu (mbinguni kumeshajaa), hakuna trinity na Yesu ni kaka yetu mkubwa kwa maana kwamba alikuwa ndiye kiumbe wa kwanza kuumbwa na Mungu. Hata dhana ya wokovu ni tofauti kidogo. Wana mafundisho mazuri sana na yenye kutia moyo mno! Pia ni wastaarabu kweli kweli na huwa napenda sana kuzungumza nao kwa kina.
Loh Mtoto mbishi wewe [emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]Adabu ipi? Mdogo wangu.