Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Mimi nakula kila kitu na Wala sijawahi ugua tumbo njianiUlishawahi kuchanganya madesa mpaka tumbo likakuchachamalia? Kuwa mwangalifu hii isije ikakutokea. Safari utaiona chungu.
(Wasukuma tunasifika kwa kula kula safarini. Kwa hiyo nina experience [emoji16][emoji16][emoji16])
Wewe subiri tu. Siku yako yaja. Utaweza hata kushukia njiani tumbo likigoma kutoa ushirikiano.Mimi nakula kila kitu na Wala sijawahi ugua tumbo njiani
Tena naanza kula Mara tu baada ya kuanza safari.
Hotelini napiga addition tu!Wewe subiri tu. Siku yako yaja. Utaweza hata kushukia njiani tumbo likigoma kutoa ushirikiano.
Mimi sili safarini labda tu basi likisimama kwenye hoteli nakula chakula cha moto. Lakini hivi vya madirishani hapana kwa kweli. Kama ni matunda nanunua tu na nitakwenda kuyala huko niendako.
Pole sana mkuuMaombi nimepata mushkel kidogo wa mwiliView attachment 1732293View attachment 1732294
Mungu akuponyeMaombi nimepata mushkel kidogo wa mwiliView attachment 1732293View attachment 1732294
Pole sana nini mbayaMaombi nimepata mushkel kidogo wa mwiliView attachment 1732293View attachment 1732294
Malaria mkuuPole sana nini mbaya
Amin
AhsantePole sana mkuu
Crush uko vizuri😂Hotelini napiga addition tu!
Nakuwa nishashiba kitambo.
Labda niumwe kabla au baada ya safari,ila safarini sijawahi
Wako vizuri sana.
Hii noma bhageshiUlishawahi kuchanganya madesa mpaka tumbo likakuchachamalia? Kuwa mwangalifu hii isije ikakutokea. Safari utaiona chungu.
(Wasukuma tunasifika kwa kula kula safarini. Kwa hiyo nina experience [emoji16][emoji16][emoji16])
Safiri salama
Utakuja kutupa shuhuda siku mojaMimi nakula kila kitu na Wala sijawahi ugua tumbo njiani
Tena naanza kula Mara tu baada ya kuanza safari.
Sura tu inatia matumaini. Kila la kheri madam president.
Marahaba mdogo wangu? Habari ya weye?Karma hujambo [emoji3526].