Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,619
- 4,154
Namwachia Mungu nakuambia😔😂😂 ushindwi kuniambia kachukue mvinyo unidakie pale.
Saa 12 jioni nakutumia msg Dada mzuri 😘😘
Nishaondoka huko siku nyingi niliona unazingua tu!
Kwa hiyo umeniweka kwa foleni kabisa🙌