Duuu ilinipitaMbona niliweka mwanzoni huko niliifuta bada ya kuchimbiwa mkwara wassap kwamba nije kuitoa ngoja akili zangu za heineken zikinituma nitakuja kuweka tena baba wa mtoto mzuri [emoji847]
Kumbe eeehhhMbona niliweka mwanzoni huko niliifuta bada ya kuchimbiwa mkwara wassap kwamba nije kuitoa ngoja akili zangu za heineken zikinituma nitakuja kuweka tena baba wa mtoto mzuri [emoji847]
Hivi tunazungumzia nini eti jamaniKwanini tena eti jamani??
we acha tu
Vibonge tupo wengi mama haupo peke yako
Vibonge tupo wengi mama haupo peke yako
Kritika
Hahaha nikirudia kuiweka tena haitakupitaDuuu ilinipita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdogo wangu yaani unavuta kwa jua lote hili??Hivi tunazungumzia nini eti jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Halafu nilijua tu chaumbea wangu uniquote uje uniulizeKumbe eeehhh
Nani alikuchimba biti eti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyingine subiri nilewe halafu pombe zikiniisha nakuja kufutaUlitupia moja tu mamii...hembu wauwe na nyingine[emoji16]
Ila Kuna kauli sijaipenda
Hiyo ya tecno Aiseee...Mara picha zinatoka vibaya...Sasa si Ni zao na wameridhika nazo ndio maana wakapost.
Kutumia iPhone kusimfanye mtu amdharau mtumiaji wa Samsung infinix au tecno...Ni priority tu jamani...hatuwezi kulingana.
Pia uzuri wa mtu upo machoni pa mtu... mambo ya kuanza kuponda wadada wa watu bila sababu za msingi sio uungwana.
Kama girlfriend wako Ni malaika kwako isiwe sababu ya wewe kuwakandamiza wasichana wengine na kuona hawafai...kuna wanaume wanaowaona wanafaa.
Na nyie wadada muache kuponda girlfriends za watu jamani lol[emoji23]
Mmezidi na nyie....jifunze kupunguza maneno mdomoni.
Ulimi huponza kichwa.
Pia mtu kukaa muda wote humu sio Kama Yuko useless au Hana kazi.
Kazi Ni kazi,haijalishi kubwa au ndogo zote Ni kazi.
Acheni kuona watu hopeless kisa wanashinda humu...kila mtu na priority zake...wengine jf Ni kama rafiki kwao.
It's a matter of choice &priority.
Kuna watu wapo humu nawajua Wana kazi na hela zao za maana...lakini hata siku moja hutawakuta wakikashfu watu
Jifunzeni kuongea na watu vema.
Hii jf Ina Watu wengi,waaminifu ,wema,wazuri...
Kupitia hii unaweza tengeneza undugu ujamaa na urafiki.
Tudumishe upendo,tafuteni Sana kuwa na amani na watu wote.
Heshima Ni kitu Cha bure
Jifunzeni kuongea lugha nzuri.
Ukijibu vizuri ama kukaa kimya hutakatika mkono Wala kichwa.
Samahani kwa nitakaowakwaza.
Ni maoni yangu tu.
Vibonge oyeeeehKiongozi mimi dada yenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdogo wangu yaani unavuta kwa jua lote hili??
baada ya wewe kunimwaga si ilibidi mtu nitafute pumziko kwengineKumbe nilifanya busara kukumwaga...
Daaaa nimecheka sana umenikumbusha mbali sana jamani