Wema wako
Si kwa wakati wa furaha tu
Wema wako pia wakati
Hata wa machozi
Wema wako haupimiki
Kwa majira fulani tu
Wema wako ni kila wakati
Na kila nyakati
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema
Tunapopanda ni Mwema
Tunapovuna ni Mwema
So wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Wewe ni Mwema, umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Mungu atabaki kuwa Mungu,