B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,413
Crush uko poa,Kwanini hujaniambia nikusindikize?
Natamani Sana kufika hayo maeneo
Naomba tips za kujua kuchora nimevutiwa.[emoji3578]View attachment 1727045
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] [emoji2297][emoji2297]Shetani fala sanaa..kanidanganya nimejikuta naondoka saa kumi
Mmmmmmhh Geraldhahahhahahahahhahaha karma ww genius..
.laki unapata ngoja mkeka utiki
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
nakupa laki chap.....wait and seeMmmmmmhh Gerald
nampa laki sooon...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Crush uko poa,
Sijawahi fika hayo maeneo, kuna clip niliona msukuma anasema Abaundi araundi, nilicheka sana.
Mkeka ukitick[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]nampa laki sooon...
atakupa hata 20 ukanunue kreti mbili za pepsi unywe
sawa?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hahahah mna lafudhi ya kufurahisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ila wasukuma na makabila yetu sisi huku nyanda za juu kusini hatuchekani Sana...ushamba haujatuacha salama
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Hahahah mna lafudhi ya kufurahisha sana
๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Uncle kuku..dah๐๐
Binafsi nilikuwa nimekuhamu aise..nimemiss purukushani zako mara kucha,mara miguu ,vidole..๐๐kikubwa zaidi mapocho pocho๐ ๐
Dah hebu niambie ni Mechi gani hizo na mi nibetnakupa laki chap.....wait and see
kuna timu mbili zimebaki nakula million 2.6 nishindwe kukupa laki kweli ww ndugu yangu
hyo location nilikuepo jana.....
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Eti purukushani ๐๐ Inabidi nifanye mkakati wa kurudi niziendeleze maana mie mwenyewe nawamiss sana.๐Binafsi nilikuwa nimekuhamu aise..nimemiss purukushani zako mara kucha,mara miguu ,vidole..๐๐kikubwa zaidi mapocho pocho๐ ๐