Selfika na JF: Snap it. Show it

ndio maana nilikuambia siwez kubishana...kupanik ni sekunde

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Sasa nakuelewa Kalumbu.
Nilikuwa na mwalimu wangu fulani alikuwa na kigugumizi aiseee...alikuwa na hasira Sana,yaani yule Kuna muda nahisi alikuwa anatamani atandike fimbo [emoji1787]sema ndio vile chuo hakuna fimbo
.akiingia darasa lote kimya,mtu akizingua ni kufukuza nje na matusi aisee..yule jamaa[emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…