AiseeHahahaha mimi sisifiagi kila mtu aise maana siwezi kuwa mnafiki yaani nikikuambia wewe ni mzuri ujue nimekuona mzuri kweli yaani hiyo compliment inakuwa imetoka moyoni hata Saint anne anajua hili
Bora umeligundua hiloNshana hiyo simu mbona kama ya wale watu wasio julikana kule kenya
No dada yake Saint anne ndiyo kazaliwa 89 mie nikikutajia umri wa dada yangu wa kwanza mbona utakuwa unanisalimia shikamoo maana mimi na yeye hatujapishana sanaKama dada ako wa 89 we mdogo wangu trust me
Nimekuelewa mkuu Sema jamaa apunguze malingo na kujumlisha wanawake wote wa JFDuu, basi mama punguza hasira
You know i[emoji3590]u
Mimi dada yangu wa kwanza anaweza kuwa mama yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No dada yake Saint anne ndiyo kazaliwa 89 mie nikikutajia umri wa dada yangu wa kwanza mbona utakuwa unanisalimia shikamoo maana mimi na yeye hatujapishana sana
🙌🙌Mtakuja kuona na vifua vya baba zenu nyie ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekuelewa mkuu Sema jamaa apunguze malingo na kujumlisha wanawake wote wa JF
Mke wangu mtarajiwa leo sijaona picha yako hapa...nakusubiri hapa hapa
Avatar yangu inatoa jibu lako haina haja ya kuweka.Hawachi sijakuona juu huko mama la mama...ni scroll post namba ngap?
ndio maana mkuu 😂 😂 😂 😂 .Siku hizi wanasoma sana watu wa mikoani na wengi wametoka kidato cha sita..tofauti na zaman zilikua zinasoma pisi zinazotokea maofisini zenye diploma zao zinakuja kusaka degree,,basi palikua na balaa pale,toto linashushwa kwenye geti ndogo pale na ndinga kalii...mguu kashausugua mwenge huko unang'aa kweli kweli halafu kanyuka umin wa suti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi wana vaa madela tu kama wazazi
ninakuelewa perfectly bi dada
Hiyo kolabo wataka kufanya Haki ya Nani italeta kimbunga Kenneth humu ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maombi yana nguvu hasa ukiyafanyia kolabo na juju
We sangoma hizo sio chuma ulete kweli umeshavuna mwenyeweHapana kwakuwa ana wasaidizi
iweke standby maana haichukui raundiIkifika page ya 500 naweka kapicha
uvumilivu kipaji mpendwa..Unavumilia tu dear
Anza wewe na sie tushuhudie au we hujaumbwa?Yani mambo yamekua mengi hadi nmepitwa na pic za hawa warembo
Saint anne Hannah Depal Sakayo
Fanyeni kunihurumia basi nami nishuhudie uumbaji