Selfika na JF: Snap it. Show it


Kijioni flani hivi tulivu cha J-Nne[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91], huku nabembelezwa na Ferre Gola, Madilu, Mopao Mokonzi, Roga Roga, Papa Cherie, Dou dou copa, Papaa Fula Ngenge Wemba kwa mbaaaali[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91], life is Guuudah Fellaz.
 
Washaanza kukuita PM uwe makini coz wanataka tuachane
Tutapita milima pia na mabonde
Yahitaji uvumilivu Sana.

Nakupenda mpenzi wangu
Maana wewe ulinipenda
Ukanichagua niwe wako[emoji8]

Kukupenda sitoacha
Maishani mwangu mwote

I'm singing[emoji23]for you sweetheart

Ni wimbo wa Gospel wa mwanadada fulani
 
Bado unapiga mbizi
Ndiyo lakini kwa mbali naona mwambao, huenda ndiyo nakaribia kufika.

Naomba usinifungie mlango, kesho nitakuwa nafika. Si unakumbuka nimekuletea zile Dollars ulizoniagiza kuja nazo?

Wallet hapa imejaa 🏃🏻
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…