Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni hizo emoj za kiss

Picha siku hizi siwezi kuweka
Mashostito zangu walishazamisha simu yangu kwenye uji
imekuwa kimeo zaidi ya mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mi nilimaanisha hizo hizo emojis. Kwamba ngoja nijifanye kama sijaziona yaani.

Duuh pole! Nina imani yule shostito mkubwa handsome wangu hahusiki kabisa hapo!
 
Hata mi nilimaanisha hizo hizo emojis. Kwamba ngoja nijifanye kama sijaziona yaani.

Duuh pole! Nina imani yule shostito mkubwa handsome wangu hahusiki kabisa hapo!
dah
Kumbe umejifanya hujaziona!!
Ngoja ntaziongeza zaidi..ntaongeza makorokocho kibao ili mtufuatilie movie yetu

Yule hahusiki..Kuna kengine yaani kamenitia hasara Sana
..hata spika zilikufa baadaye zikafufuka

Camera imejaa ukungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwndrick alichukua simu yangu simpo simpo akaitupia kwenye ndoo ya maji......
nilipata uchungu mkubwa sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…