Selfika na JF: Snap it. Show it

I'm very fucking single.
Kaka ako tukipendana atakushuru sana kumpa mwanamke kama mimi
Kweli eeh?? Basi ngoja nimuambie afanye mpango na ndiyo utume picha zako full sasa my wizzo to be!!
 
Weweee. Kuna kisu kukuzidi wewe kweli huko juu? Sema tu mi sina siksi paki wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Na ukimbaombao huu nakuwaje kisu!?
Acha matusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wenye six packs kina Lizarazu visu vyao vipo kule juu[emoji1787][emoji1787]
 
Naona hapa Uzi ulienda kusikojulikana...ukachepuka njia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana Jr Kaka vipi ulizidisha kupuliza dawa Nini???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamani tupieni picha tusafishe macho...maisha yenyewe haya haya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna chemistry formula ilikataa kidogo ila nshaweka mambo sawa sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]punguza bangi mdogo wangu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…