Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Mimi naona 2006-2015 ndo wakongwe.Haha id yako ya zamani ni gani! Kwangu member wa 2018 siyo mkongwe wala hata hakaribiani na ukongwe (simaanishi umri wake halisi)!
Tangu najiunga jf huwa nawachukulia members waliojiunga kuanzia 2006 (tangu jf inazaliwa) hadi 2013 ndiyo wakongwe! Kwangu mimi lakini!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha Kalumbu yani unataka nikakutag kwenye pm na whatsapp za watu kweli
Mimi nipo.Ahsante mdogo wangu
Nimekuhamu
Sisi huku mtaani kuweka barakoa kwenye kidevu tunaona kama ufundi hivi[emoji1787]Elimu kidogoView attachment 1707827
Nipo nakuja mara moja moja kama hivi ninapopata wasaa
[emoji2955]hapana mkuu...Nyie ndo mnagawana keki ya taifa.
Amani tu, nothing else [emoji1635]Kinaendelea nini hapo?
Yes hata hapo siyo mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia imebadilika uliza uambiwe! Hiyo mifano yenu haisaidii wala haihusiani na dunia ya sasa!Sikio halikuwahi kuzidi kichwa hata wakati mmoja.
Sina ID nyingineHaha id yako ya zamani ni gani! Kwangu member wa 2018 siyo mkongwe wala hata hakaribiani na ukongwe (simaanishi umri wake halisi)!
Tangu najiunga jf huwa nawachukulia members waliojiunga kuanzia 2006 (tangu jf inazaliwa) hadi 2013 ndiyo wakongwe! Kwangu mimi lakini!
[emoji120][emoji120]Nipo nakuja mara moja moja kama hivi ninapopata wasaa
Nilianziaga hapa....
Yeah naona kila mtu ako na mtazamo wake hapa kwenye suala la ukongwe. Kuna wengine watakuambia hadi 2016 nao ni wakongwe (nao wako sawa kwa upande wao).Sina ID nyingine
Hao wa 2006 - mpaka 2010,
Kwangu ni wakongwe.
Kwamba leo nimefanikiwa kuona/kukuta picha yako au hata siyo wewe mkuu Heaven Sent?Nilianziaga hapa....View attachment 1708186
Kwamba leo nimefanikiwa kuona/kukuta picha yako au hata siyo wewe mkuu Heaven Sent?
Ooh!!nikajua nimethubutu kukutwa....Hiyo ni avatar yangu ya kwanza bana, ingekuwa picha yenyewe Karma angesharuka.
Kwema kabisa mkuu, sijui kwako?Ooh!!nikajua nimethubutu kukutwa....
Vipi kwema lakini mkuu
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuuKwema kabisa mkuu, sijui kwako?