Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,861 S T O I C said: Unaona hauhitaji mazoezi huja automatic tu umri ukifika. Click to expand... Umri ulishafika mbona. Basi tu sijawahi kuwa serious kwenye maandishi. Sent using Jamii Forums mobile app
S T O I C said: Unaona hauhitaji mazoezi huja automatic tu umri ukifika. Click to expand... Umri ulishafika mbona. Basi tu sijawahi kuwa serious kwenye maandishi. Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 20, 2021 #91,862 Haki ya mama, kila mtu na taste yake. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks S T O I C said: Sorry Lakini haina mvuto, Hio mpya ni nzuri. Click to expand... Saint Anne said: Hiyo picha naipenda sana aisee .. Hii avatar mpya sijui hata nakuonaje Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Haki ya mama, kila mtu na taste yake. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks S T O I C said: Sorry Lakini haina mvuto, Hio mpya ni nzuri. Click to expand... Saint Anne said: Hiyo picha naipenda sana aisee .. Hii avatar mpya sijui hata nakuonaje Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,863 S T O I C said: Ina maana ulikua darasa la 7 B HS kajoin 2013. Click to expand... Nilikuwa namalizia ufundi cherehani veta pale. Sent using Jamii Forums mobile app
S T O I C said: Ina maana ulikua darasa la 7 B HS kajoin 2013. Click to expand... Nilikuwa namalizia ufundi cherehani veta pale. Sent using Jamii Forums mobile app
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Feb 20, 2021 #91,864 Heaven Sent said: Haki ya mama, kila mtu na taste yakr. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks Click to expand... Bora tuseme ivyo.
Heaven Sent said: Haki ya mama, kila mtu na taste yakr. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks Click to expand... Bora tuseme ivyo.
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Feb 20, 2021 #91,865 Saint Anne said: Nilikuwa namalizia ufundi cherehani veta pale. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... VETA kuna viboko😂
Saint Anne said: Nilikuwa namalizia ufundi cherehani veta pale. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... VETA kuna viboko😂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,866 Heaven Sent said: Haki ya mama, kila mtu na taste yakr. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks Click to expand... Hiyo uliyoitoa sasahivi ndio yenyewe sasa Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven Sent said: Haki ya mama, kila mtu na taste yakr. Mimi binafsi favorite yangu ni hiyo ya dreadlocks Click to expand... Hiyo uliyoitoa sasahivi ndio yenyewe sasa Sent using Jamii Forums mobile app
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Feb 20, 2021 #91,867 Saint Anne said: Umri ulishafika mbona. Basi tu sijawahi kuwa serious kwenye maandishi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ngoja nikubali tu.
Saint Anne said: Umri ulishafika mbona. Basi tu sijawahi kuwa serious kwenye maandishi. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ngoja nikubali tu.
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Feb 20, 2021 #91,868 Saint Anne said: Hiyo uliyoitoa sasahivi ndio yenyewe sasa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hio alioweka ndio yenyewe.
Saint Anne said: Hiyo uliyoitoa sasahivi ndio yenyewe sasa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hio alioweka ndio yenyewe.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,869 S T O I C said: Ngoja nikubali tu. Click to expand... Ndiyo ndiyo Sent using Jamii Forums mobile app
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Feb 20, 2021 #91,870 Saint Anne said: Ndiyo ndiyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Makubwa!!! VETA za Mbeya zichunguzwe.
Saint Anne said: Ndiyo ndiyo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Makubwa!!! VETA za Mbeya zichunguzwe.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,871 S T O I C said: Hio alioweka ndio yenyewe. Click to expand... A wapi. Ile aliyoitoa kuna namna imekaa kitumishi..mimi huwa naona ina upako fulani,huwezi nielewa. Sent using Jamii Forums mobile app
S T O I C said: Hio alioweka ndio yenyewe. Click to expand... A wapi. Ile aliyoitoa kuna namna imekaa kitumishi..mimi huwa naona ina upako fulani,huwezi nielewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,872 S T O I C said: Makubwa!!! VETA za Mbeya zichunguzwe. Click to expand... Kwamba? Dah Sent using Jamii Forums mobile app
S T O I C said: Makubwa!!! VETA za Mbeya zichunguzwe. Click to expand... Kwamba? Dah Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,873 S T O I C said: VETA kuna viboko Click to expand... ndiyo na hivi kichwa kulikuwa kigumu basi ni stiki tu Sent using Jamii Forums mobile app
S T O I C said: VETA kuna viboko Click to expand... ndiyo na hivi kichwa kulikuwa kigumu basi ni stiki tu Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,874 Pendael24 said: Ila ndio maana nikakuambia wewe Ni binti usie mkubwa Sana unabisha, juzi juzi tu kumbe uoikuwa shuleni Click to expand... Hivi nyie hamjui kama Kuna MMEMKWA? Sent using Jamii Forums mobile app
Pendael24 said: Ila ndio maana nikakuambia wewe Ni binti usie mkubwa Sana unabisha, juzi juzi tu kumbe uoikuwa shuleni Click to expand... Hivi nyie hamjui kama Kuna MMEMKWA? Sent using Jamii Forums mobile app
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,875 Mjep nakusalimu brother Sent using Jamii Forums mobile app
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Feb 20, 2021 #91,876 Saint Anne said: Hivi nyie hamjui kama Kuna MMEMKWA? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Maybe!
Saint Anne said: Hivi nyie hamjui kama Kuna MMEMKWA? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Maybe!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Feb 20, 2021 #91,877 Pendael24 said: Maybe! Click to expand... Ndiyo Sent using Jamii Forums mobile app
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Feb 20, 2021 #91,878 Mambo ya rohoni...... Saint Anne said: A wapi. Ile aliyoitoa kuna namna imekaa kitumishi..mimi huwa naona ina upako fulani,huwezi nielewa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
Mambo ya rohoni...... Saint Anne said: A wapi. Ile aliyoitoa kuna namna imekaa kitumishi..mimi huwa naona ina upako fulani,huwezi nielewa. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand...
ismail hassan JF-Expert Member Joined Jul 16, 2017 Posts 696 Reaction score 1,629 Feb 20, 2021 #91,879 kimola
B R A C E L E T JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 2,358 Reaction score 4,406 Feb 20, 2021 #91,880 Saint Anne said: Kwamba? Dah Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wahenga wanatandikwa huoni ni Jinai😂😂😂
Saint Anne said: Kwamba? Dah Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wahenga wanatandikwa huoni ni Jinai😂😂😂