geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,235
nitag ambapo zipo picha zako.....karma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Una bahati ya kufahamiana na watu makini sana ambao hawawezi kuvujisha picha zako hata iweje sie wengine tulishakosea njia saa hii picha zetu zishasambazwa huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kiukweli wakongwe hatuna shida kabisa siunajua utu uzima dawa mama.
ndio maana nikasema wakati wa dharura, sio kwamba ninatetea jambo hilo au kwamba mimi ni muumini kwa kitu kama hiko la! bali kama mwanaume najua wengi wetu huangukia mahali hapo na wewe kama mke ni kusamehe iwapo utaombwa msamaha.
Ndio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe umejiweka kwenye wakongwe?
Sent using Jamii Forums mobile app
kalumbu nimekumiss
😂
AiseeUkongwe ni nini
Ukongwe ni kutumia dp moja ata miaka mitatu.
Hiyo ni moja ua sifa yetu wakongwe.
Nimekumiss pia kalumbu.kalumbu nimekumiss
Kwa mfano mtu huwezi kukaa na Avatari 1 mwaka ata siri unaweza kutunza kweli😅😅, mkongwe hana maangaiko.Aisee
Kumbe!
Vikija vipimo vingine vya ukongwe labda ntajaribu kama nafit.Hii ya avatar sigusi kabisa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unafuraha tele!!!!
nimechange hali ya hewa naona ka nna kahoma.....nimewai doz
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mfano mtu huwezi kukaa na dp 1 mwaka ata siri unaweza kutunza kweli[emoji28][emoji28], mkongwe hana maangaiko.
kama ni hivyo nami nipo kwenye ukongwe aisee maana kwangu ni mwaka wa saba sasa sijawahi kubadilishaKwa mfano mtu huwezi kukaa na dp 1 mwaka ata siri unaweza kutunza kweli😅😅, mkongwe hana maangaiko.
Muda wa kufurahi ni sasa.Naona unafuraha tele!!!!
Imagine unamuona mtu unayempenda anafuraha tele[emoji847].
Ooh basi naongelea avatar[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dp na Siri ni vitu viwili tofauti
Mimi nikijitahidi avatar basi ni wiki tu
Sent using Jamii Forums mobile app