Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Wewe unaamini ile falsa ya mwanamume kwa mwanamke mmoja ni kitu kisichowezekana?
Hoja Kama hizi za kina Mwitore yaani nikimkamata mtoa hoja ni kutandika tu ngumi.Wewe kama mwanamke najua unajua kuna wakati mnakua na dharura, na hio dharura inaweza kudumu hata miezi 6 na kuendelea, unadhani mwenzako ataishi vipi katika situation Kama hio?
Mimi simfahamu dada,kwa hiyo nahitaji picha!🤗🤗🤗Kwa hakika leo mmeniamulia jamani, mtaniona hapahapa JF. Afu ujue mimi najulikana sana physically, so issue ya picha wala sio big deal
Yeah hawa wakongwe wengi wanafahamiana sana na wanaheshimiana sana hauwezi kukuta wanatangaza kijingajinga kuwa eti wanafahamiana! Shida ipo kwetu sisi wa juzi juzi nakwambia mtu akifahamiana na mtu hasa anayekubalika atataka jf nzima ijue!
Mambo yako hayo Hubby
Ha haaaa. Sijui aliwaza nini my baby girl mpk akachora hio pichaHahaaa aisee noma sana. Jini lina six pack kama zote.
Wewe kama mwanamke najua unajua kuna wakati mnakua na dharura, na hio dharura inaweza kudumu hata miezi 6 na kuendelea, unadhani mwenzako ataishi vipi katika situation Kama hio?
Una bahati ya kufahamiana na watu makini sana ambao hawawezi kuvujisha picha zako hata iweje sie wengine tulishakosea njia saa hii picha zetu zishasambazwa huko
Hakika mkuu
Huyu Heaven Sent acha tusubiri tu kumuona huko huko Heaven kwa Baba
Mimi simfahamu dada,kwa hiyo nahitaji picha!
😳🏃🏃🏃Ngoja chura iendelee kukua
hio hutokea mara chache sana yaani mmoja kwa 1000 na pengine isiwepo kabisa kitu kama hiko,Nyie hampatagi dharura? Hamtegukagi nyonga na kuumwa visukari, sisi huwa tuna-survive ipi?
utaziweza lakini hizo ngumiHoja Kama hizi za kina Mwitore yaani nikimkamata mtoa hoja ni kutandika tu ngumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakubali tu ipo siku watachitiwaSo huwa mnataka Wanawake wafanyeje mkuu
Sasa muda wa changamoto ya mkeo ndiyo muda wa wewe kucheat? Ndiyo unamlipa mkeo kwa kukuzalia mtoto?hio hutokea mara chache sana yaani mmoja kwa 1000 na pengine isiwepo kabisa kitu kama hiko,
lakini kwenu hio ni maumbile mfano halisi pegnant ama uzazi!
ndio maana nikasema wakati wa dharura, sio kwamba ninatetea jambo hilo au kwamba mimi ni muumini kwa kitu kama hiko la! bali kama mwanaume najua wengi wetu huangukia mahali hapo na wewe kama mke ni kusamehe iwapo utaombwa msamaha.Sasa muda wa changamoto ya mkeo ndiyo muda wa wewe kucheat? Ndiyo unamlipa mkeo kwa kukuzalia mtoto?
Kiukweli wakongwe hatuna shida kabisa siunajua utu uzima dawa mama.Yeah hawa wakongwe wengi wanafahamiana sana na wanaheshimiana sana hauwezi kukuta wanatangaza kijingajinga kuwa eti wanafahamiana! Shida ipo kwetu sisi wa juzi juzi nakwambia mtu akifahamiana na mtu hasa anayekubalika atataka jf mzima ijue!
Kabisa yaani.Yeah hawa wakongwe wengi wanafahamiana sana na wanaheshimiana sana hauwezi kukuta wanatangaza kijingajinga kuwa eti wanafahamiana! Shida ipo kwetu sisi wa juzi juzi nakwambia mtu akifahamiana na mtu hasa anayekubalika atataka jf mzima ijue!