Hahahaha wewe uliyekuwa na kazi ungepata muda wa kuchambana na wanawake humu?? X100 my ass!!Hahah nimemjibu mwenzenu huko juu najua mnatamani kunifahamu na pia kufahamu ninapokojolea ila ndio hivyo tena haiwezi tokea...
Niwe Mkweli tu, yule sio mtu wangu ni picha nilichukua mtandaoni huko na nilipost kimakusudi nisike mtakuja na hoja gani na ninmegundua kitu kwenu, nitabaki nacho moyoni siwezi weka hapa kuleta mgongano kwenye nyuzi za watu...
Kuhusu Itel, ni mmoja wapo ya simu zangu ndogo ninazotumia kwa sababu inakaa na charge muda mrefu, na kuhusu smartphone natumia simu yenye bei tu sina haja ya ku prove hilo kwa sababu wengi wenu najua mnatumia tecno tu ndio maana picha zenu haziko clear kiasi hicho...
Na kingine, kuhusu kazi wala sina haja ya kujisifia sehemu ninazoingia hapa Nchini itachukua muda pengine koo/familia yenu kuja kuingia, na nimegundua humu wadada wengi hamna kazi zinazoeleweka ndio maana mko online 24/7 mjitahidi kufanya kazi pengine mtaepuka hii psychology ya kushinda mtandaoni masaa yote hayo...
Kuhusu mama watoto wangu sijui hata kama umemsogelea kielimu, kiuchumi, kifikra n.k... Jua tu yuko X100 ahead of you...
NB: Ukitaka picha zaidi za huyo mdada naweza kukupa jina ukaenda kumtazama huko mtandaoni..
Wewe utabaki kuwa kielelezo bora kwa aina ya wanawake wenye akili na hekima zao.
Sitakusahau wakati flani nikiwa ninashambuliwa bila sababu na wenye akili zao...ulituliza moto kwani nilichokuwa nakiwaza kukifanya "shetani anajua" kwani najijua mwenyewe nilivyo na hasira kwa wapumbavu...ubarikiwe sana bila kumsahau kipenzi CUTE B
Nalipenda tu hilo jina mkuu sina sababu kubwaNje ya uzi, hivi kwa nini uliamua kujiita Karma ?
Pamoja. KarmaKumbe umenipata eenh?? Pamoja!!
Mwingine tena,,, asante sana kwa somo lakoSijui kama huwa unaelewekaga humu jf, labda mimi nimebarikiwa kukuelewa pekee
Shukrani, Barikiwa.Asante sana [emoji120]
Ingizo jipya hilo... Leo kidau kinapanda[emoji7][emoji39][emoji23]View attachment 1222508
NakudaiIngizo jipya hilo... Leo kidau kinapanda[emoji7][emoji39][emoji23]View attachment 1222508
Pole masikini, Samahani lakini.Huyo mdada kanikera sana mkuu, najua wanatamani kunifahamu sema ndio hivyo hawawezi, na pia hivi karibuni kumezuka ka mtindo baada ya kuleta lile tangazo la kazi la kutafuta mwanadada aliesomea Engineering niliweza fungua PM yangu na nikasahau kuifunga kama hapo mwanzo....
Nimekuwa nikifuatwa na wadada wenye ID mpya mpya wakinichombeza wanadhani mimi ni mwepesi kiasi hicho kutoa namba zangu nimeishia kuwatazama na kuachana, wanatumia mbinu za zamani sana...
Halafu nimekuja gundua wachangiaji wengi especially wadada ni kama vile hawana kitu cha ziada cha kuwaweka busy, muda wote naona wapo online, halafu cha maana wanacho discuss hakuna...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mie nimeona nimuombe msamaha tu yaishe maana naona kanung'unika sanaSo funny wallah [emoji23][emoji23][emoji23] hivi lile neno CASE CLOSED hujalielewa au ubishi?!!
Emu tulia basi!!