Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtu atakuuliza "should you listen to your own voice and not the world even if your own voice is wrong and the world is right?"

I hate that stupid question! Maana nimegundua siku hizi duniani hakuna right wala wrong yaani siku hizi right na wrong yamekuwa masuala mtambuka watu wanajifanyia tu mambo watakavyo na yanaenda!
 
Mbona wewe unakunywa?

Acha na mimi nikusapoti
nimelishinda pepo....nimepitia kwa mangi nimeona nipge coca tuu
Screenshot_20210219-184949_WhatsApp.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bia zinakuangalia zinasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Utakuja tu kalumbu
zinasema hiii baghooosha....bia ukitaka kuziacha zi suprize usiziache kwa kupanga kama jack et before march.....

mfano mimi nahesabu siku hapa keshokutwa natimiza week mara paaak miak minne
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo miaka minne mbona unaota ndoto za mchana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahaha sema kalumbu hauko kwenye ulimwengu huu...ungekuepo ungeona vile kuna ugumu kwa kuacha
 
Mtu atakuuliza "should you listen to your own voice and not the world even if your own voice is wrong and the world is right?"

I hate that stupid question! Maana nimegundua siku hizi duniani hakuna right wala wrong yaani siku hizi right na wrong yamekuwa masuala mtambuka watu wanajifanyia tu mambo watakavyo na yanaenda!
Exactly!

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom