Kuna Post Niliwahi kuweka hapa kuwahusu wadada wa kazi (housegirls) nikitahadharisha kina baba wenye nyumba kutotembea nao Leo ni mwendelezo ule ule lakini kwa muktadha tofauti Hapa ni bila kujali kama ana mahusiano na baba mwenye nyumba ama la, wengi huja kwa lengo la -kufarakanisha ndoa...