Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo kwenye
"cause i got you babe"
Nilikua najisemea ni "Magato" nikiwa najiimbia kitambo iko😅
 
Leo siku ya mahaba nkamu. Lebda nitupie kidogo kitu cha Kassim Mganga-Usiende kwa mganga, ufikishe kwa wifi


Tazama sura yako ilivyo nzuri, macho mazuri, najihisi raha
Tazama midomo yako mizuri, miguu mizuri najihisi raha.
Tazama unavyo nipendeza, unavyo nipendeza najihisi raha,
Tazama ninavyo kupenda ninavyo kupenda, najihisi raha.

Napenda unavyo niheshimu kiukweli japo sio sana, nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana, nakuomba zidisha.

Wanaosema asali tamu kuliko mapenzi, kuliko mapenzi nakataa
Wanaosema asali inazidi utamu, kuliko kupendwa nakataa
Aaaa yaa yaaa

Usiende kwa mganga (usiende baby wangu)
Usiende, nisikilize mpenzi wangu (x2)

Si unajua mihangaiko yangu, jua kali nikirudi nimechoka (x2)
Nipokee basi vifurushi nipige na busu nibembeleze.
Unipikie chakula kizuri mpenzi, nile nishibe nikushukuru
Unizidishie mapenzi zaidi unayonipa, nisiende kwengine

Wanaosema asali tamu kuliko mapenzi, kuliko mapenzi nakataa aah
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa
aaah yaaa yaaa

Usiende kwa mganga usiende nisikilize mpenzi wangu ( x2)
Tupendane tupendane tupendane tupendane mpenzi wangu.
Rusha babe, siku ni hizihizi! Au break yako ni ya karibuni?
 
Wooooooooooooooooooooooow mam, umeufanya usiku wa valentine kuwa mzuri kwangu.
 
Halafu nimekumbuka hapo kwenye "Cause I got you babe" kuna cousin yangu alikuwaga anaimba "Isagha kuno"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…