Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi niliongea kuhusu picha humu,muhusika akazitoa.
Cha ajabu Kuna kichaa mmoja alikuja kunishambulia na kuniita mnafiki tukakesha tunatukanana humu.
 
Kendrick Gerald MwakalingaView attachment 1698148
Mtoto ni mcute sana brother.hongera mno.

Kama shangazi yake wa kujilazimisha ningekuomba ikikupendeza usimweke mwanao kwenye haya mamitandao.ikikupendeza lakini

πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈπŸ§šβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…