Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahah mbwa anaperuz mtandaoni dah...Kweli ulaya ulaya wakati huku kuna binadamu hata nafasi ya huyo mbwa hawana katika maisha.
Nilitaka nipite kimya Leo
Uvumilivu umenishinda[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ni ngumu kwakweli 😂 hapa ndio utaelewa aliyesema bora kuzaliwa mbwa ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…