Selfika na JF: Snap it. Show it

Heee kumbe....bado sijapata blaza.

Hauna Rafik yako mrefu mrefu kidogo ambae haongei SAN kama weweπŸ˜…
Mi sio muongeaji ila ni muandikaji elewa hilo kwanza!
Ninae mwenye sifa hizo ni mpole lkn sijuagi kwanini huwa anakamatwa anaiba kuku! Mi nahisi huwa wanamsingizia! Ngoja nitampa namba yako najua tukiwafanyia maombi mtawezana tu dada..πŸ˜‚
 
Vigezo vyote vimeenda kwa kipenzi changu.
Huyo muiba kuku mwambie kideri kimeanza.sijui ataiba nini jamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…