Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo kwa dada yako umekosea dogo, kwa mjadala huu akija hapa si ataninyonga kweli!!

Aisee huku ni kwema japo maradhi na vifo naona imekuwa kawaida sasa ila Mungu mwema.

Umepona mkuu hadi unaanza kuzungumzia chumvini?
Mkuu nimepona nimerudi kwenye hali yangu kama zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…