Ila mtu akinifanyia hivyo makusudi Basi naye ajiandae..yaani marudishia..na hivi mm ni mzuri wa kuweka status,msg Zako nafungua na naendelea kutupia status zangu huko.

Hata usipoangalia ni sawa tu!
Maana status naweka kwa ajili yangu na furaha yangu binafsi...ila usiponijibu msg basi na mm nitafanya hivyohivyo..nasoma natembea.
Na siwezagi kumuandikia mtu msg nyingine Kama ya nyuma tu hakuijibu.