cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,288
- 187,945
Nini wee babu? Kwani hupendi vitoto vidogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3064][emoji3064][emoji45][emoji45][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Nini wee babu? Kwani hupendi vitoto vidogo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3064][emoji3064][emoji45][emoji45][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Popote sawa tyuuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila unijibu hilo swali.[emoji3][emoji3][emoji3]unataka niseme hapa hapa!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msieeeeew, ndo mtakufa na vitu vidogo km hvyo, hope umeelewa pia. HahahahUnaifahamu hii mishkaki ya miamia? Mitamu sana hii..[emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1686607
Huyo nilikua mim kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Hatareeeeeh sanaaaaah.
Tena 1 ya 7 kwa o level, 3 kwa a level. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msonyo daraja la kwanza [emoji23]
Urudi unajua kinyaki[emoji23][emoji3581]View attachment 1686515
Usirudi kama hujui kinyaki[emoji23][emoji23]ndaga fijoo naloliiii [emoji38][emoji38][emoji38],, tukuyu kwenu waosha magari Wana vifaa vichafu utadhani wanataka waichafue
Niletee hiyo mishkaki mwanangumbona ndio tupo njian kurudi [emoji23][emoji23]nimeiona ile mishkak yako nimeishia kucheka tu
Unadhani nakijua Basi[emoji23]nitakuja kwenu kesho unifundishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakula ya uyole,,hivi unavonijua Mimi nibebe mishkaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana Bill[emoji134]hapana kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushaanza ? Nitakuchapa
[emoji38][emoji38][emoji38]ishia hapo hapo nisije nikageuza kurudi tukuyu kuifuata [emoji23][emoji23]
Safari hii tunakoseshana raha hadi majumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol