Mkuu,
Binafsi wala sina shaka na akili kubwa Mungu aliyokupa, sina shaka kabisa. You're so exposed na dunia na ndio maana upo hapo ulipo, hoja yangu ni kuyaweka ya chumbani yabaki huko, zile picha mimi sikuzipenda na nilikuwa wa kwanza kukukrash. Hata kama umeamua kuwa shoga, basi sawa lakini usituonyeshe, tumekataa kuzitizama.
Hakuna atakayekupangia nini ufanye, ila content za kishoga tumekataa usipost humu. Mashoga humu wapo kibao, wezi, majambazi, malaya, wahuni..nk Ila tukae nayo huko.