Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,308
Huku tulikuwa na outreachUmenikumbusha mambo ya Easter conference, jamani kukesha kuimba, kusali na kuomba. Tatizo ile sehemu kulikua na mbu mno, nilivorudi home nlipatwa na malaria kalii.
Abee mchumba [emoji3590]Mchumba[emoji173]
Hivi ile dawa ulichemsha juzi,bado tu ipo jikoni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu[emoji38][emoji38]
Leka mbilikisye syo mukujobha nu kocha gwinu u Billi[emoji23]hahahahahhahaha st Annie alinichekesha sana.....nilicheka kinoma
Dah,siku zote hizo mbona hiyo dawa inaniogopa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipo naamsha nayo kesho nakuja nayo haiwezekani ukanipa mim cheo kibovu namna hio
Hata wa sasa mnajinyonga[emoji23][emoji23]Ni wahehe wa zamani Sana siku hizi exposure imekua kubwa mambo hayo hamna Tena Labda kwenye ulanzi hapo unawekwa kwenye uji Kama sukari
Huo ni uzembe.Pamoja na kukaa na wanyaki Sana nalijua neno moja tu ndaga fijo
Kamwene[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utasimulia hapa dawa ya kihehe
Hicho ni kisafwamwagona
Kumbe unazijua, afadhali.Hata Mimi kihehe , kibena Niko vizuri kiasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona shemeji yako humuogopi? Mimi sitajinyonga bna yaan naacha utamu najinyonga serious[emoji23][emoji23]
Na wale ndio wenye mji hapa town[emoji23][emoji23][emoji23]Wasafwa washamba Sana wakitaka kuvuka lami pale mwanjelwa wanashikana wote mikono Kama kumi wanavuka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnoge[emoji1787]Wew unajua kamwene tu [emoji28][emoji28]
Mkemia wenu[emoji38]oyaa mchambuzi wa vinywaji nchini.....
mkuu...
Wasafwa asili yao ni Mbeya mjini..wengi wapo mporoto hukoWasafwa wandali wanyiha wako mbozi
Lugha za makabila maneno mengi huwa yanaendana kwahiyo haitanipa shida sanaUtakijua tu [emoji3]
Iko wapi[emoji23][emoji23]Dawa yako imeshachemka wew
Iko wapi [emoji23][emoji23][emoji23]Dawa yako imeshachemka wew