Selfika na JF: Snap it. Show it

Sehemu kama hizo unatakiwa uende na pocket money, ukifika mda unakula kona, wakija na vindizi vyao we unawachora tu

Sema mchana nilikuwa nakula Sana kwenye mizunguko yangu.
Nikirudi usiku siku hiyo ikiwa ndizi na nyama basi nakula nashiba fresh tu!
Wana maisha ya kizungu Sana...ila chakula kilikuwa kingi hadi kinabaki ,shida ilikuwa kwangu kula ndizi kama dinner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…