Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,526
- 235,267
Halafu sasa siku zile si ulinipa namba hapa [emoji23]nikaiscreenshot nikajisemea ntasave siku yoyote.Sasa Bwana kuna siku si watoto wameshika Simu wakafuta futa baadhi ya picha,nayo ikafutika[emoji134]mbona hukunipa taarifa au umenitosa kimya kimya [emoji1787]
Mimi napenda keki bwana..fanya mchakato harusini nitengewe keki yangu[emoji2956]wew Bibi harusi utanitia aibu [emoji23][emoji23]
Kwa hali niliyokuwa nayo Jana hata kutembea sikuweza.. nilikuwa nawaza kama nitaweza kufika leo.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Mwee unaanza kuongelea habari za vifo tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chuo mm nilikuwa nakula wali wa buku nashushia na maji yangu ya kisimani yaliyojaa chumvi kemkem nayachemsha safii.Ndiyo maana nasema watoto wa kishua hamuwezi kuelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu siyo kwamba hawali eti kwa sababu ni wa dar hela mjini ngumu mama
We husikii siku hizi hadi wanachuo wanashindia mihogo unafikiri wanapenda
Tunajipa tu moyo kuwa anayekula mahindi na ugali wote sawa (sembe ni sembe tu) [emoji1787][emoji1787]
Yaani acha tu[emoji134]hao watoto Wana fitna Sana sitawapa bigbom(pipi kijiti) nitakupa tena
Kwa kweli.kabla ya kwenda ukumbini tunapiga kwanza zege la maana masuala ya kusubiri chakula saa tano hapana
Hujaona hapo ustadh moud anakula zake mahindi ya kuchoma wakati jamaa anashinda na madini muda wote..[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Aisee mtu awe na hela halafu ale mahindi ya kuchoma kama lunch ndiyo nasikia kwako
Nakuja unipe lift mpenzi
Nicemabegi bila nauli.....View attachment 1680613
Huu mchezo ni really?Are u thereView attachment 1680782
karibuNice
Mkuu tupe mrejeshoAre u thereView attachment 1680782
Sio lazima uulize kuhusu kufa tu mkuuMkuu tupe mrejesho
Au tayari ushakufa
Niulize je nitapata mchumba JF ?Mkuu tupe mrejesho
Au tayari ushakufa
Eee manHuu mchezo ni really?
Ukiita Charlie Charlie?