Selfika na JF: Snap it. Show it

pole Sana aisee ni malaria au maana huko kyela Kuna malaria balaa
Hata sijui, inawezekana ni hivyo maana nilikuwa natapika balaa afu kula nikawa siwezi..Jana mida km hii nilikuwa natapika maji tu!
,kesho nataka nikapime
 
kwani na Bibi harusi wanakulaga ubwabwa
Kumbe mie ndio nitakuwa bibi harusi eeh[emoji2956]..
Basi kama wewe utakuwa bwana harusi nakutaarifu mapema,ile keki tutakayokata pale mm nitaipiga nusu keki pale .

Chakula maharusi huwa wanatangulia kupakua,aisee mm nakula pilau vibaya mno..kuna hatari ya kupiga addition siku ya harusi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Aise pole dear
Nataka kufa kiutani tu[emoji23]
Tena homa zangu huwa za ghafla tu,Cha ajabu naumwa sana ndani ya siku tu na ninaweza hadi kulazwa.
Jana nilikuwa nachat humu ila nilikuwa hoi naumwa ,kuna watu niliwapa taarifa,wangewapa taarifa za kifo changu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…