Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,380
Kwanza ukifika unaulizwa wewe Ni nani?aisee mambo ya mahari bana hua yananifurahisha Sana Mara utasikia mkaja wa mama hahaha unazidi toa hela tu ..Mimi nikija kwenu nikiona invoice inazidi nasimama nasema jamani naona kuoa bint yenu haikua ridhki yangu nimeshindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
leta picha SasaNa picha
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni chakula cha mchanaView attachment 1680313
Mambo ya kiumeni temeke daslam[emoji23][emoji23][emoji23]unashushia na maji ya Dawasa
Mimi siwezi kula mahindi kama lunch.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmhh hebu huko
Ni hela chache tu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee itabidi kabla nionane na mama mkwe angalau awe mtetezi wangu siku hio kuja kichwa kichwa noma
[emoji4][emoji4][emoji3590]Ouk sawa nimekuekewa, na nishafanya ivo.
anasema anawahi kufikamtumishi kalumbu unahusudu siti ya mbele.....
Speed meter
Wala si hela nyingi jamani [emoji23]hahahaa Ila inatakiwa binti unawapanga nyumbani kabisa kua jamaa mpambanaji tu msidhani ana mahela angalau wanapunguza makali
Wapeni wazazi haki yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukulabhila kufika[emoji38]mtumishi kalumbu unahusudu siti ya mbele.....
Ndiyoanasema anawahi kufika
Fanya mambo tule ubwabwa ati[emoji23]kwakweli hamna namna tuombe uzima na mungu kabla 2022 haijaisha Kaka usipooa wanafamilia wanakuona muhuni kumbe hawajui changamoto tunazopitia
Naumwa kichizi mwanangu.ulikua unaumwa?
Asanteni TMK kwa maajabu yenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaah mimi naonaga kama dereva hajui...nikikaa mbeleanasema anawahi kufika
Wewe huyo [emoji140]Habari zenu wakuuView attachment 1680529