Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,526
- 235,267
Maandishi yangu hayawezi kukubadilisha ila Mungu mwenyewe atakunyoosha..Hakuna heshima yeyote niliyovunja humu, hizo picha zipi zisizokua na maadili? Kwan ukosefu wa maadili n kuwa LGBT? najua kanuni na taratibu zote za hii forum, wala sijakiuka hilo. Hizo picha nilizoweka ilikua ndan ya comment ambayo nilikua namjibu mtu nka ambatananisha na picha ili aaone uhalisia wa kile anachokizungumzia,
Haikua haja ya watu wengine kuhangaika na kufurukuta kuhusu hilo kwani halikua linawahusu, na sidhan km wangekua buzzy na mambo yao binafsi km wangepata na chance kujadili suala ambalo kwao ni tatizo au haliwapendezi.
Umetoa hoja ya kutaka mabadiliko kwangu, unadhan wee ndo unaweza kunibadilisha kwa hayo maneno yako kutoka kwenye vitabu fulani? Mabadiliko yatafanywa na maamuzi yangu mie mwenyewe binafsi km nikitaka. Halafu hakuna hoja nyingine inayoweza kutetea wakati wa pingamizi ktk suala hili zaidi ya DINI?
kuhusu hoja ya DINI kwangu haina nafasi wala mashiko, labda kuwepo na hoja nyingine mbadala naweza kukubali kudadavua, unadhan kila mtu ana imani na hicho unachokopigania ktk pingamizi la suala hili?
Huko kwenye dini mie mwenyewe muumini mzuri tyuuh, nimeanza kushiriki ktk masuala ya dini tangu mdogo nikiwa na miaka 8, nimeshiriki shirika la watoto (KIPAPA), nimetumikia kanisani, nimeimba kwaya. na nimekulia familia yenye msingi imara ktk maadili na malezi.
Lakini yote hayo hisia zangu hazihusiani na hilo, na siwezi kufanya kitu ambacho sina ashiki eti niridhishe jamii inayonizunguka kwa kipi na ili iweje? Naishi vile mie nataka maisha yangu yawe, ili hali sivunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.
Samahani sana kwa maelezo haya, km nitakua nimekukwaza nisamehe tyuuh.
Ouk relaaaaaaaaax.Ok, yameisha mkuu!
certified Gay.......kulalaleeeeek ( in billdrago voice)Hakuna heshima yeyote niliyovunja humu, hizo picha zipi zisizokua na maadili? Kwan ukosefu wa maadili n kuwa LGBT? najua kanuni na taratibu zote za hii forum, wala sijakiuka hilo. Hizo picha nilizoweka ilikua ndan ya comment ambayo nilikua namjibu mtu nka ambatananisha na picha ili aaone uhalisia wa kile anachokizungumzia,
Haikua haja ya watu wengine kuhangaika na kufurukuta kuhusu hilo kwani halikua linawahusu, na sidhan km wangekua buzzy na mambo yao binafsi km wangepata na chance kujadili suala ambalo kwao ni tatizo au haliwapendezi.
Umetoa hoja ya kutaka mabadiliko kwangu, unadhan wee ndo unaweza kunibadilisha kwa hayo maneno yako kutoka kwenye vitabu fulani? Mabadiliko yatafanywa na maamuzi yangu mie mwenyewe binafsi km nikitaka. Halafu hakuna hoja nyingine inayoweza kutetea wakati wa pingamizi ktk suala hili zaidi ya DINI?
kuhusu hoja ya DINI kwangu haina nafasi wala mashiko, labda kuwepo na hoja nyingine mbadala naweza kukubali kudadavua, unadhan kila mtu ana imani na hicho unachokopigania ktk pingamizi la suala hili?
Huko kwenye dini mie mwenyewe muumini mzuri tyuuh, nimeanza kushiriki ktk masuala ya dini tangu mdogo nikiwa na miaka 8, nimeshiriki shirika la watoto (KIPAPA), nimetumikia kanisani, nimeimba kwaya. na nimekulia familia yenye msingi imara ktk maadili na malezi.
Lakini yote hayo hisia zangu hazihusiani na hilo, na siwezi kufanya kitu ambacho sina ashiki eti niridhishe jamii inayonizunguka kwa kipi na ili iweje? Naishi vile mie nataka maisha yangu yawe, ili hali sivunji kanuni, taratibu na sheria za nchi zilizowekwa.
Samahani sana kwa maelezo haya, km nitakua nimekukwaza nisamehe tyuuh.
Ni sawa nasubiri kunyooshwa na huyo Mungu mwenyewe muweza wa yote, mie ni binadamu sijakamilika huwa nakosea hata ikiwa nje ya LGBT ni mkosefu pia, na kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe.Maandishi yangu hayawezi kukubadilisha ila Mungu mwenyewe atakunyoosha..
Sipo kukulazimisha kubadilika,na sina hoja nyingine za kupinga nje na dini..kama huzitaki hakuna mahala nimekulazimisha ubadilike..
Picha zako za kishoga zinakera,usidhani tunaogopa kukuambia..unapovuka mipaka lazima tuseme.
Kama wewe unajisikia vizuri na huo ushoga basi ni wewe ila hayo mapicha yanakera,uyatoe.
Kama umelelewa katika maadili ya dini basi wewe dini haijakusaidia..ulipoteza muda.
Mungu ametuagiza tuonyane,na mimi nimetimiza maandiko..nimekuonya..na ilikuwa lazima niongeze na sitanyamaza.
Unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]11[emoji23]certified Gay.......kulalaleeeeek ( in billdrago voice)
walikua wanamuita babe.....kaanza kunikera mudaMmemlea sana huyu choko humu mpaka anafikia kuona uchoko wake ni jambo la kujivunia. Tena linavyojishaua na hizo jomoneeeh zake. Haya mambo ni ya kukemewa kwa nguvu zote. Shame on you all kwa kumwendekeza humu!
Nyooooooooooooh!!!!Ptuuuu !!!
Bado sana mbona ndo kwanza mziki unaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walikua wanamuita babe.....kaanza kunikera muda
Unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmemlea sana huyu choko humu mpaka anafikia kuona uchoko wake ni jambo la kujivunia. Tena linavyojishaua na hizo jomoneeeh zake. Haya mambo ni ya kukemewa kwa nguvu zote. Shame on you all kwa kumwendekeza humu!
aisee kuna watu wana moyo....unambandua dume mwenzako unaona mbupuu zileee kmmkUsikute kuna majamaa humu yanalipelekea moto. Hoovyoo !!!
Mie huyu nitoke na hawa wanaume wa JF? Hivi unanijua au unanisikia? Km wee wanakuburuzaah poleeeeeh usidhan kila m2.Usikute kuna majamaa humu yanalipelekea moto. Hoovyoo !!!
Wee kwani unazungumza nini? Unajua chanzo ni kipi? huyo mtu anajifanya yeye ndo anakereka San na status yangu, sasa nkamuonesha na picha aone uhalisia ili roho yake isuuzike.Ukome kutuwekea picha za mashoga humu. There is nothing fancy in being a faggot. Hata wengine tuna dhambi zetu lakini hatuendi huko tukitangaza dhambi zetu bali tunatubu na kuzijutia kimya kimya na Mungu wetu ndiye anajua. Njoo kwenu mashoga sasa uwiii! Mpaka na parades juu na hizo bendera zenu za upinde wa mvua.
What is so special in being a faggot? Ni nini kinawafanya mpaka muwe na audacity ya kujishaua hivi hadharani?
Unaweza kuishi na watu humu kwa amani tu lakini siyo kila siku kujishaua ushoga mpaka unatuwekea na picha kabisa!
hahaahhaahahaahahahahahahahahaahaaa......wanakutongoza??Mie huyu nitoke na hawa wanaume wa JF? Hivi unanijua au unanisikia? Km wee wanakuburuzaah poleeeeeh usidhan kila m2.
Nyoooooooooooooooooooooooooooh.
sema kubishana na hii gay ni kumuudhi hata shetani.....oya shoga all the best kwenye ushoga wako ila huna muda mrefu utaanza kupata haja kubwa ya minyoooMie huyu nitoke na hawa wanaume wa JF? Hivi unanijua au unanisikia? Km wee wanakuburuzaah poleeeeeh usidhan kila m2.
Nyoooooooooooooooooooooooooooh.
Mpiga picha wa jeshi uyoMkuu una hatari.
Unapiga picha maeneo ya jeshi?
Nyooooooooooooh!!!!
Bado sana mbona ndo kwanza mziki unaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie huyu nitoke na hawa wanaume wa JF? Hivi unanijua au unanisikia? Km wee wanakuburuzaah poleeeeeh usidhan kila m2.
Nyoooooooooooooooooooooooooooh.
Wee kwani unazungumza nini? Unajua chanzo ni kipi? huyo mtu anajifanya yeye ndo anakereka San na status yangu, sasa nkamuonesha na picha aone uhalisia ili roho yake isuuzike.
Sio kila mtu anachokifanya mtandaoni bas maisha halisi yako hivyo, poleeeeeeh.
Halafu sijawahi simama parades na kushika bendera, achilia kuji proud kwa mwanaume hovyo, mie ni mtu ninaye jielewa na kujitambua, hata fiance wangu anajivunia hilo.
Poleeeeeeeeeh.
Tena natongozwa hata mwanamke hatongozwi ivo, napewa ile status ya u [emoji146],hahaahhaahahaahahahahahahahahaahaaa......wanakutongoza??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] serikali yako yenyewe imeshindwa. Poleeeeeeeeeeh
Nitapambana mwenyewe ktk hilo, wala wee hutakua unahusika kwa chochote.sema kubishana na hii gay ni kumuudhi hata shetani.....oya shoga all the best kwenye ushoga wako ila huna muda mrefu utaanza kupata haja kubwa ya minyooo
yameisha