Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu, jamaa wa kipare anaomba kukuvalisha pete (anaomba uwe wake rasmi), si eti mkuu?
Mie kwa mpare mbona tayari Pete nilivishwa, picha niliweka mbona hapa, tazama huko juu, ukweni nilienda huko SAME, likizo ya mwezi March nampeleka kwetu Nyanda za juu Kusini.
Na tunaishi Pa1, maisha yanaenda full burudaaaaani.

Hisia ni dhamana ya muhusika, hapaswi kuingiliwa wala kuzuiliwa.
 
unatia kinyaaa....eti pete nilivishwa


hivi ww ukoje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…