Mimi je
Mwaka Jana ndio ilikuwa mara yangu ya Kwanza kubandika hizi kucha na nilibandika kwa influence ya rafiki yangu niliyeongozana naye..akanilazimishia na Mimi nikaweka..miguu ilikuwa mizito hatari , kwenye daladala mtu unasimama kwa wasiwasi
haki urembo ni kazi jamani!
Kwanza picha limeanza nimeenda Church,ile katika harakati za kucheza kurukaruka si nikagongana na mtu
akanikanyaga kidole cha mwisho
nimekaa nashangaa damu inatiririka kidoleni.