Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,721 kurlzawa said: Kila mtu achangamke kwa mwenzie Click to expand... Hebu hukooo ππππ
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,722 Chakorii said: Amen mtumishi wa bwana Click to expand... Asubhi tu mama mtumishi
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,723 kurlzawa said: Waziri na makamu wake Click to expand... I see.ila kama hamjajipulizia uturi naombeni mkavue hizo nguo tafadhali.
kurlzawa said: Waziri na makamu wake Click to expand... I see.ila kama hamjajipulizia uturi naombeni mkavue hizo nguo tafadhali.
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,724 Chakorii said: Hebu hukooo Click to expand... Mapenzi moments utapakumbuka uko
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,725 Chakorii said: I see.ila kama hamjajipulizia uturi naombeni mkavue hizo nguo tafadhali. Click to expand... Tukishavua tuvae nini?
Chakorii said: I see.ila kama hamjajipulizia uturi naombeni mkavue hizo nguo tafadhali. Click to expand... Tukishavua tuvae nini?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,726 Chakorii said: Yap ni rangi nzuri ila zinapendeza zaidi kwenye Kucha za bandia.hivi vipisi vyetu havikai poa sana Click to expand... Mi naona hata hizo inapendeza tu. Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana
Chakorii said: Yap ni rangi nzuri ila zinapendeza zaidi kwenye Kucha za bandia.hivi vipisi vyetu havikai poa sana Click to expand... Mi naona hata hizo inapendeza tu. Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,727 kurlzawa said: Asubhi tu mama mtumishi Click to expand... Kwakweli.hivi kumbe mimi ni mama mtumishi eee...safi
kurlzawa said: Asubhi tu mama mtumishi Click to expand... Kwakweli.hivi kumbe mimi ni mama mtumishi eee...safi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 14, 2021 #86,728 kurlzawa said: View attachment 1677115 Click to expand... Wewe ni yupi?
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,729 kurlzawa said: Tukishavua tuvae nini? Click to expand... Mbaki na suti ya asili..kama hunukii unyunyu lkni
kurlzawa said: Tukishavua tuvae nini? Click to expand... Mbaki na suti ya asili..kama hunukii unyunyu lkni
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,730 Saint Anne said: Mi naona hata hizo inapendeza tu. Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana Click to expand... Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand manager
Saint Anne said: Mi naona hata hizo inapendeza tu. Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana Click to expand... Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand manager
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,731 Chakorii said: Mbaki na suti ya asili..kama hunukii unyunyu lkni Click to expand... Mambo yako meusi kichura kitakuhusu
Chakorii said: Mbaki na suti ya asili..kama hunukii unyunyu lkni Click to expand... Mambo yako meusi kichura kitakuhusu
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,732 Saint Anne said: Wewe ni yupi? Click to expand... Yule uliye mfocus zaidi
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,733 Saint Anne said: Mi naona hata hizo inapendeza tu. Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana Click to expand... Haki na umri huu bado ni mshamba kabisa wa hizi Kucha.kuna siku nilibandika nilijihisi kama mlemavu tu..ngiri sio ngiri basi tu maisha yalikuwa magumu mno
Saint Anne said: Mi naona hata hizo inapendeza tu. Kucha za bandia mikononi ni mtihani Sana Click to expand... Haki na umri huu bado ni mshamba kabisa wa hizi Kucha.kuna siku nilibandika nilijihisi kama mlemavu tu..ngiri sio ngiri basi tu maisha yalikuwa magumu mno
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,734 kurlzawa said: Mambo yako meusi kichura kitakuhusu Click to expand... Nitashukuru nikiruka kichura ili misuli ikaze.hicho kichura nitaruka saa ngapi Chief
kurlzawa said: Mambo yako meusi kichura kitakuhusu Click to expand... Nitashukuru nikiruka kichura ili misuli ikaze.hicho kichura nitaruka saa ngapi Chief
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,735 kurlzawa said: Mapenzi moments utapakumbuka uko Click to expand... Hebu niwache mimi hukoππ
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,736 Chakorii said: Nitashukuru nikiruka kichura ili misuli ikaze.hicho kichura nitaruka saa ngapi Chief Click to expand... Chagua wewe kama usiku safi
Chakorii said: Nitashukuru nikiruka kichura ili misuli ikaze.hicho kichura nitaruka saa ngapi Chief Click to expand... Chagua wewe kama usiku safi
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,694 Reaction score 20,648 Jan 14, 2021 #86,737 Chakorii said: Hebu niwache mimi huko Click to expand... Sikuachi sasa
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,738 kurlzawa said: Chagua wewe kama usiku safi Click to expand... Usiku kwani mimi mchawi..asubuhi barabarani itakuwa mwake sana
kurlzawa said: Chagua wewe kama usiku safi Click to expand... Usiku kwani mimi mchawi..asubuhi barabarani itakuwa mwake sana
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 14, 2021 #86,739 kurlzawa said: Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand manager Click to expand... kwahiyo walimu ni wakoloni Sana π
kurlzawa said: Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand manager Click to expand... kwahiyo walimu ni wakoloni Sana π
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 14, 2021 #86,740 kurlzawa said: Sikuachi sasa Click to expand... Nikianza timbwili bila bugdha utaniwacha tu