Ndugu zangu, Nasikitika kuwajulisha kuwa binti yangu Site Faith ametoweka nyumbani tulipokuwa tukimuandaa kurejea shuleni. Anasoma St Agustine Tagaste anapotakiwa kuanza Kidato cha nne. Tunadhani hakupenda kuendelea na Shule hiyo akidai they are too strict
Copy n paste