Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,890
- 37,861
Achana na ma k vant hayo kunywa kitu kama hiki!
We pombe gani wakati wa kunywa lazima uilaze chupa??
Achana na ma k vant hayo kunywa kitu kama hiki!
Vyakula vyepesi Sana hiviii
Tutanenepa Mbinguni kimbaombao mwenzangu[emoji1787]Hahaha....mwili wangu siyo wa kunenepa mkuu.
Vipi kwema lakini jamaa
[emoji85][emoji85][emoji85]dah Basi mama yaishe nimekupata
Umeona Eeeeeh!!Tutanenepa Mbinguni kimbaombao mwenzangu[emoji1787]
Flat tummy[emoji8][emoji175]
Kitambi kinaanzaView attachment 1672086
😄 najua ni jokes tu Ila unapita kwenye ukweli 😄😄😄 dogo nikija nitakupa mitama stand ya mabasi[emoji85][emoji85][emoji85]
Nakutania,usije kasirika bure
Lini itakuwa imechemka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha subiri nije dawa yako inachemka
Mchumba[emoji8]Flat tummy[emoji8]
ishachemka bado matumizi tuLini itakuwa imechemka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Stand gani hiyo nione Kama inafaa kukuumiza[emoji23][emoji23][emoji1] najua ni jokes tu Ila unapita kwenye ukweli [emoji1][emoji1][emoji1] dogo nikija nitakupa mitama stand ya mabasi
Lini nitaitumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ishachemka bado matumizi tu
Unene ni mateso tu[emoji38]Umeona Eeeeeh!!
Kwanza unene ni ugonjwa bora kuwa mwembamba wa afya.
Vipi kwema lakini mpendwa
nakuja nayo natembea nayo kwenye themosi isipoe 😄😄Lini nitaitumia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani ubebe mawazo kibao kichwani Tena ubebe na kitambi,,nawaonea hurumaUnene ni mateso tu[emoji38]
Wacha wee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nakuja nayo natembea nayo kwenye themosi isipoe [emoji1][emoji1]
Ndio hapo sasa[emoji1787]yaani ubebe mawazo kibao kichwani Tena ubebe na kitambi,,nawaonea huruma
Hasa kwa sisi/mimi mwanaume kuwa mnene siyo kabisa....Unene ni mateso tu[emoji38]
Haa hamna kitambi mchumba!Mchumba[emoji8]
Unanisifia kitambi changu[emoji13]