Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Usije sababisha mamayako akaanza nililia mieSina kitambi aisee nitakupasua

maana ntakuumiza vibayaUsije sababisha mamayako akaanza nililia mieSina kitambi aisee nitakupasua

maana ntakuumiza vibayaHakuna mtu atakuombea vizuri kama ambavyo ungeomba wewe mwenyewe.et mchambuziroho I radhi Ila mwili dhaifu niombeage Basi rafiki yangu
Wajukuu mbali kote huko??hahaha hahaahaaahhaahhahaahha daaaaah nimecheka sana.....ughweee ukamundu hahahahah ukizeeeka ww wajukuu watakoma
Sawa nitaanza maombi nilishinde hili pepoHakuna mtu atakuombea vizuri kama ambavyo ungeomba wewe mwenyewe.
Tena Mimi bibi yako kabisaTangu upate mtoto kila mmoja unamuona mwanao![]()

Huyu mwanamke akianza kukunanga Bora utulie tuhahaha hahaahaaahhaahhahaahha daaaaah nimecheka sana.....ughweee ukamundu hahahahah ukizeeeka ww wajukuu watakoma
nakubali....una mdomo wwWajukuu mbali kote huko??
Anza na wanangu,,ntawaweka kwenye line nzuri.
et mchambuzi wa mambo ya vilevi.....nimecheka kinomaHuyu mwanamke akianza kukunanga Bora utulie tu
Halafu bahati mbaya kuongea siwezi.nakubali....una mdomo ww
Hujambo moud?
hahaha subiri nije dawa yako inachemkaUsije sababisha mamayako akaanza nililia miemaana ntakuumiza vibaya
Shwari, mzimaHujambo moud?
Wewe na pepo mna ushirika mzuri.Sawa nitaanza maombi nilishinde hili pepo
Kocha wenu huyoet mchambuzi wa mambo ya vilevi.....nimecheka kinoma
Niamkie basi moudShwari, mzima
Hahaha....mwili wangu siyo wa kunenepa mkuu.Kwanini haunenepi we jamaa
notedWewe na pepo mna ushirika mzuri.
Huwezi kuwa upande wa pepo halafu eti ulishinde.
Ukimkataa shetani inabidi ukatae na mambo yake.,
Ukimpenda Mungu lazima utii sheria zake,
Bila kufuata nyayo Zake bado haujampenda..ila neema ya Mungu ni kubwa mno,Anaangalia nia ya ndani..
dah Basi mama yaishe nimekupataKocha wenu huyo