Kwanini haunenepi we jamaa
Sikupingi mkuuHuyo mnyama wa ukweli Sana upate na vipande flani vya lemon
Dadeki nna njaa mda huu halafu kuna bonge la mvua nje duhhh[emoji51][emoji51]
Naielewa mkuu sema sijui kwann chenji hua inakua karibu Sana kwangu nikiramba hiyoYes mkuu yenyewe ya ukweli sana
Sikupingi[emoji1635]
Pole sana mkuuDadeki nna njaa mda huu halafu kuna bonge la mvua nje duhhh[emoji51][emoji51]
Naishia kutamani walau mishikaki[emoji848][emoji848]
Good boss Mambo vipi, ngoja nipike chap chap maana Sina ujanjaPole sana mkuu
Vipi kwema lakini
I prefer konyagi to kvant, kvant Ina harufu siipendi na inaweza kuzimisha mtu[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Dooh nimetamani ningekuona ulivyovaa suruali
MarahabaaHamjambo humu
Tangu upate mtoto kila mmoja unamuona mwanao[emoji23]Marahabaa
Nqkuona mchambuzi wa mambo ya uleviHuyo mnyama wa ukweli Sana upate na vipande flani vya lemon
et mchambuzi[emoji16][emoji16] roho I radhi Ila mwili dhaifu niombeage Basi rafiki yanguNqkuona mchambuzi wa mambo ya ulevi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki unipe kesi bure mimi,hahahaaa ananionea balaa subir nikirudi mbeya week ijayo nitampa makonzi manne
Cha Cha chapombeeee[emoji23][emoji23][emoji23]Jana usiku mkali maji na Divai
Sina kitambi aisee nitakupasua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sitaki unipe kesi bure mimi,
ukijaribu ntakupasua kitambi hicho pombe zote zimwagike.
"Roho i radhi mwili ni dhaifu" niombeeCha Cha chapombeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuonea[emoji2098]Teh teh
Haya mkuu
hahaha hahaahaaahhaahhahaahha daaaaah nimecheka sana.....ughweee ukamundu hahahahah ukizeeeka ww wajukuu watakomaNqkuona mchambuzi wa mambo ya ulevi
Kwendaaa"Roho i radhi mwili ni dhaifu" niombee