Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,175
- 11,244
unaninanga hadharani Leo ,,Acha niwe mpole tuHizo emoj zenyewe zitakuwa zinakushangaa[emoji23][emoji23]
Unazitumiaje wakati unazionea tu,wewe pombe unapenda.
unaninanga hadharani Leo ,,Acha niwe mpole tuHizo emoj zenyewe zitakuwa zinakushangaa[emoji23][emoji23]
Unazitumiaje wakati unazionea tu,wewe pombe unapenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]where mshana is??View attachment 1670983
Hivi kwani hapo nimekunanga?[emoji38]unaninanga hadharani Leo ,,Acha niwe mpole tu
Hhahahaha picha yangu inatisha nikiweka hapa mitambo itazima, si unaijua lakini mbona mchokozi hivyoChat na picha
Na urefu wako mzuri.Hhahahaha picha yangu inatisha nikiweka hapa mitambo itazima, si unaijua lakini mbona mchokozi hivyo
Umeanza lini kuwa muongo [emoji4][emoji4]Na urefu wako mzuri.
haha hapo kumbe bado kuninanga ? Basi itoshe mama measures are taken slowlyHivi kwani hapo nimekunanga?[emoji38]
Hahaha sio uongo ni kweli mpendwa wanguUmeanza lini kuwa muongo [emoji4][emoji4]
Chat na picha basi sijakuona mimi nataka nikaombe mkopo picha yakoHahaha sio uongo ni kweli mpendwa wangu
leo umeupgradethe transition from balimi to safariView attachment 1671024
ndio brother.....naona @st annie anataka ukimbie chama....leo umeupgrade
🤣🤣 mchuano ni mkali Ila nadhani atashinda in endndio brother.....naona @st annie anataka ukimbie chama....
dont leave us mkuu....bia ziendelee kunyweka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahamia vipi na hili joto utadhani tumefungiwa kwenye mfuko [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa bado hajakutana na mimi.
Akibahatika kuonana na mm ntamchimba biti[emoji13]