Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Mwe Unahamia KyelaNina mpango wa kuhamia huku
Town kubaya
Ewaaaa namna hiiNgoja niwafungulie mwaka maana naona mba unajisi uziView attachment 1670698
Raha ya chakula kiliwe kiishe, sio unaleta habari za kugusagusa chakula na kukiacha.
Njaa mbaya dad
EwaaaaRaha ya chakula kiliwe kiishe, sio unaleta habari za kugusagusa chakula na kukiacha.
Woooooooooodhaaaaaaaaaaaaaaaah
Kumtunuku na kumpa pongezi ni muhimu kwa kazi aliyofanya jana, mitano tenaah.Unataka ukamtunuku au nasema uwongo ndugu zangu?
Nimependa hilo ndinga jeupe katkat.Ngoja niwafungulie mwaka maana naona mba unajisi uziView attachment 1670698
Wewe kunywa tunaenda boss![]()
Nahamia vipi na hili joto utadhani tumefungiwa kwenye mfukoMwe Unahamia Kyela

Hapa bado hajakutana na mimi.

Una muonekano wa kigentlemanNgoja niwafungulie mwaka maana naona mba unajisi uziView attachment 1670698
😔😔Wewe kunywa tu
Kunywa kadiri ya uwezo wako
Hizo emoj zenyewe zitakuwa zinakushangaa

