Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,545
- 235,319
Nitakulinda pulizii.Unataka niungue.
Unataka nipotelee kwenye mikono ya watu wasiojulikana[emoji102][emoji102].
Baba yako jiwe unayemteteaga kila siku ametufanya tuishi kama tuko uhamishoni na kumkosoa hatuachii na hizi fake ID ndio ngao yetu
Weraaaaaaaa[emoji8][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Saint anne emu ona hukuuu.
Asanteee CFC [emoji91][emoji91] endeeleni kutufariji vimbau
Namkubali sana ni mnywaji mwenzetu
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshana Jr wametunyanyasa wakishirikiana na mtoa Uzi [emoji23][emoji23]
Za 2000 boss.
Ndio ninazo hizihizi
Hizi hofu zako tuAisee kwa uchangiaji wa mada za humu JF lazima nitakuwa kwenye orodha ya watu wanotafutwa na vijana wa Siro.
Sasa nikisema niweke picha yangu hapa nitakuwa niwarahisishia kazi kabisa na naweze nisilione jua la kesho hasubui.
Nilishaweka ila skumbuki post no ngapi... Wwe ndio umekuwa kagumuMimi mhenga.
Tupia basi kapicha.
Nilishazoea.Si zinaumiza maskio hizo za 2k
Aisee kwa uchangiaji wa mada za humu JF lazima nitakuwa kwenye orodha ya watu wanotafutwa na vijana wa Siro.
Sasa nikisema niweke picha yangu hapa nitakuwa niwarahisishia kazi kabisa na naweze nisilione jua la kesho hasubui.
😋😋😋😋😋Hanna haniwezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kibonge mwenye nyamaaaView attachment 1221856View attachment 1221857View attachment 1221859
Twin Depal
Wasitutishe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2]Halafu hiyo ipo sana , babe akikupiga hana haja ya kukuandaa maana automatiki unalowa[emoji134][emoji134][emoji134]
Ahsante kwa kunikumbuka besti....
Sijaona mapicha picha yako, nimemiss kuona rangi yako ya dhahabu...
Alafu hafuti futi picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeshatupiamo
Weka picha braza
Mi napenda mwanaume mbabe jicho nyanya ngozi ya mamba sura mbaya hivyo yani ila awe smart
[emoji1] [emoji1] Mi tayari mkuu, japo kwa leo sijatupia. Ila soon picha ina kuja. Kuna lady ali appreciate vien zangu jana ko ni mwanzo mzuri
Halafu wewe upoje?