Selfika na JF: Snap it. Show it



Eti physics ina vishazi huru.
kuna comments ilinichekesha nilicheka ile siku tena ilikuwa usiku wa manane.
Aliandika"vichwa vya sayansi vinaondoka tu,juzi muddy physics yule ya mchikichini,Leo kihombo..eti janjajanja akina arts history wanazidi kudunda kwenye ardhi ya mola"
Yaani jf kuna kila aina ya kituko
 
Wabongo wana vituko sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…