herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,303
- 3,987
ππππpigo za wanyaki kabisa hz tena wa tukuyu.unaweza ukawa n ww kweli...?Hiyo ya upande wa kushoto ni yanguView attachment 1665075
πhiyo huwa ni funika kombe mwnaharam apite tuuWeeee...msitudanganye!π¬π¬
Huku mnajidai kuziponda ila mtaani mnazisifia kama nini. Watu wenu wakibond na kushonea hizo "You are so beautiful! Ma" "You look amazing" etc. etc. kama zote ππ
Exactly!!! Kwahiyo mtuvumiliage tu!!Mi nadhani kwenye hili ni kila mtu alivoumbwa kikubwa ni ujijue unapendeza ukifanya kipi. Kuna wanaopendeza akinyoa kipara, kuna wanaopendeza akinyoa kama ulivonyoa, kuna anaependeza akisuka rasta nk nk..
Duuh πUlikuwa mpanda farasi eeh#FlashBackFriday #10yrsAgo π€ͺπ€ͺ
View attachment 1665116
πππ Wabaya sana nyie watu π€πhiyo huwa ni funika kombe mwnaharam apite tuu
πUko vizuri..Hapana sipendi maisha ya kuchunguza watu na mimi pia sipendi kuchunguzwa
πππyan me Mara zote humu huwa nakutana na picha za vyakula kutoka kwa Lizzy, nshawai bahatika kuona mguu wa chakorii na za wale wavaa makofia makubwΓ a, hata shingo huzion.Aisee ukiwa busy ukawa hauingii hapa mara kwa mara unakutana na hizo sana.. Unaweza hisi una mkosiππ
π Hatuwazid nyie...πππ Wabaya sana nyie watu π€
Mchunga ng'ombe wa kisasa ππDuuh πUlikuwa mpanda farasi eeh
π π π Sema naona umegoma kubadilikaMchunga ng'ombe wa kisasa ππ
Uzi umechangamka leoπ₯Adi nataman niamishie kitanda humu humu..#Sweet16 ππView attachment 1665119
π€£π€£π€£π€£ kukataa siwezi ila nasisitiza kwamba.....nyie ni wabaya!!!π Hatuwazid nyie...
kuna post moja ya twitter nilicheka sanaa.
Mdada kapost Good morning to all ladies and other gender that betray Jesus
Alichojibiwa sasa π Nikabaki kucheka tu
Sasa naanzia wapi kubadilika???πππ π π Sema naona umegoma kubadilika
HV viatu ndo anavyovaa diamond kwenye shoo zake nowadays#FlashBackFriday #10yrsAgo π€ͺπ€ͺ
View attachment 1665116
ππachecheee,
Happy new yearππ
πΆπΆπΆ
π€£π€£π€£π€£ kukataa siwezi ila nasisitiza kwamba.....nyie ni wabaya!!!
Tupia screenshot shot ya alichojibiwa na sie tufurahi π
Utalala sasa???Uzi umechangamka leoπ₯Adi nataman niamishie kitanda humu humu..
Naona nimuite Behaviourist aje aaseme πWapi panahitaji mabadilikoπ πSasa naanzia wapi kubadilika???ππ
As long wewe uko macho usingizi sidhani kama utakuja..Utalala sasa???